Kwaya ya wanafunzi kutoka shule ya msingi Mweleni ikiingia uwanjani kutumbuiza wakati wa siku ya watu wenye ulemavu dunia ambayo maadhimisho yake kwa mkoa wa Kilimanjaro yamefanyika katika viwanja vya kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi.
Baadhi ya watu wenye ulemavu wakifurahia nyimbo iliyokua ikiimbwa na kikundi cha shule ya msingi Mweleni(hakipo pichani)
Mgeni rasmi katika siku ya Wenye ulemavu duniani  afande Grace Lyimo akiwa na viongozi wengine meza kuu wakati wa maadhimisho ya siku hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya kaskazini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...