Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM akizungumza jambo wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi mbalimbali wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014
Bwana Novatus Damiani ambaye ni kiongozi wa timu ya Abajalo iliyotwaa ubingwa wa michuano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 akipokea pesa taslimu shilingi milioni tano kutoka kwa Bi. Fatma Likwata ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm na Tv akimwakilisha Dr Mwaka.
Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar) akimkabidhi zawadi ya shillingi laki tano bwana Omary Hamis ambaye alitwaa tuzo ya golikipa bora wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014
Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar) akimkabidhi zawadi ya laki tano mchezeshaji mzuri(refa) wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014
Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar) akimkabidhi zawadi ya shilingi milioni moja Bwana Suleiman Buji ambaye alitwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014
Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar) akimkabidhi zawadi ya shilingi laki tano Bwana Ally Mango ambao walitwaa tuzo ya kikundi bora kilichotoa burudani kwenye mashindano ya Dr Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 .
HABARI ZAIDI INGIA HAPA
HABARI ZAIDI INGIA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...