ILIKUWA ni furaha isiyoelezeka pale Mwalimu Eliza Mhule wa Shule ya Msingi Mtoni , Manispaa ya Temeke pale alipotunukiwa shahada yake ya kwanza ya Ualimu iliyotolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kwenye Mahafali yalifanyika hivi karibuni katika mji mdogo wa Kibaha Mkoani Pwani hivi Karibuni. Katika picha Eliza yupo katika picha ya pamoja na watoto wake David Keasi (kushoto), Brian (katikati) na Aaron (kulia)
 Walimu wa Shule ya Msingi  Mtoni katika Manispaa ya Temeke wakiwa katika picha ya pamoja na mashaada yao ya maua  muda mfupi mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Kwanza katika elimu kwenye Chuo Kikuu Huria (OUT) hivi karibuni kwenye sherehe za Mahafali zilizofanyika hivi karibuni huko Kibaha, Mkoani Pwani. Kutoka kushoto ni Mwalimu Rehema Mruma, Omari Kitwana,Anna Mwamgunda na Eliza Mhule.
Mwalimu Eliza Mhule wa Shule ya Msingi Mtoni , Manispaa ya Temeke. akivishwa shada na mwanae bada ya kulamba nondozzzz yake ya kwanza ya Ualimu iliyotolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kwenye Mahafali yalifanyika hivi karibuni katika mji mdogo wa Kibaha Mkoani Pwani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongereni sana walimu kwa kujikwamua kielimu

    Endeleeni muweze kupaa juu zaidi. Mungu atawasaidia.

    Walimu wengine igeni mfano wa walimu hao ili na nyinyi muweze kupiga hatua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...