Waziri mkuu mstaafu Frederic Sumaye akihutubia katika mahafali ya kumi
na tatu ya chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Royal yaliyofanyika
leo katika Ukumbi wa Mawela Sinza.
Wadau wa sekta ya habari wakiwa wamepozi baada ya kuhitimu katika chuo
cha RCT,pichani ni baadhi ya wahitimu kutoka Guardian wakiwa na
mpigapicha mkongwe Juma Dihule.
pichani ni baadhi ya wahitimu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...