Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya akitoa maelezo ya jinsi bia inavyochachuliwa wakati wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya, wakipata maelezo kutoka kwa Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya (kushoto),  kuhusu mitungi inayotumika kupikia bia  walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
 Wanajeshi wakioneshwa   shayiri inayotumika kutengenezea bia
 Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya akitoa maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia njia ya kisasa ya kompyuta wakati wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...