Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye miwani katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa alipopokea sehemu ya mabehewa ya kisasa yatakayotumika kuboresha usafiri katika reli ya kati ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akiangalia kitu wakati wa kupokea sehemu ya mabehewa ya kisasa yatakayotumika kuboresha usafiri katika reli ya kati ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).kushoto ni Afisa Habari wa TRL,Midraji Mahezi.
Sehemu ya ndani ya Mabehewa hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mabehewa safi sana yanatia moyo sana ....ankal naomba hii picha uihifadhi hivi hivi baada ya miezi sita kuanza kufanya kazi haya mabehewa tupigie tena picha na utuwekee picha zote tuone tafauti yake

    ReplyDelete
  2. Safi sana, sasa watanzania tujifunze kutunza mali za nchi. Ukienda uwanja mpya wa taifa unaweza kutoa machozi kwa uharibifu unavyofanywa makusudi

    ReplyDelete
  3. Safi sana ,sasa Mwakyembe gombea kura nakupatia

    ReplyDelete
  4. Yatakua machafu sasaivi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...