Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye miwani katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa alipopokea sehemu ya mabehewa ya kisasa yatakayotumika kuboresha usafiri katika reli ya kati ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akiangalia kitu wakati wa kupokea sehemu ya mabehewa ya kisasa yatakayotumika kuboresha usafiri katika reli ya kati ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).kushoto ni Afisa Habari wa TRL,Midraji Mahezi.
Sehemu ya ndani ya Mabehewa hayo.
mabehewa safi sana yanatia moyo sana ....ankal naomba hii picha uihifadhi hivi hivi baada ya miezi sita kuanza kufanya kazi haya mabehewa tupigie tena picha na utuwekee picha zote tuone tafauti yake
ReplyDeleteSafi sana, sasa watanzania tujifunze kutunza mali za nchi. Ukienda uwanja mpya wa taifa unaweza kutoa machozi kwa uharibifu unavyofanywa makusudi
ReplyDeleteSafi sana ,sasa Mwakyembe gombea kura nakupatia
ReplyDeleteYatakua machafu sasaivi
ReplyDelete