Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Lazaro Nyalandu na Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Misitu Tanzania (TFS),Juma Mgoo wakikagua shamba la miti la
Meru jana alipotembelea shamba la miti la mkoani Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Lazaro Nyalandu akikagua ujenzi wa kanisa la Kiinjili la
Kilutheri, Usharika wa Ivume wilayani Siha mkoani Kilimanjaro
alipoendesha harambee ya kuchangia ujenzi huo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Mh. Leonidas Gama akizungumza na viongozi wa
kamati ya Ulinzi na Usalama wa mikoa ya Arusha na Kilimanajaro
kuhusiana na mgogoro wa katika eneo la Ndarakwayi logde iliyoteketezwa
kabisa kwa moto na WANANCHI wa jamii ya wafugaji katika
ugomvi wa ardhi ya kwa ajili ya malisho wakati Waziri wa Maliasili na
Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu alipotembelea ili kumaliza mgogoro wa
wananchi na mwekezaji.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...