Askari polisi wakiwa wamepakia kwenye gari miili ya majambazi wawili waliouwawa baada ya mapambano ya risasi baada ya kutaka kupora pesa katika duka la Mpesa/Tigo Pesa/Airtel Money mtaa wa Mkunguni jijini Dar es salaam usiku huu. Chini ni umati uliokusanyika sehemu ya tukuio.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Safi kabisa. Jamani tufanye kazi yenye haki na kutuletea maslahi katika maisha. Uwizi, ujambazi si kazi za haki watanzania nyie mnaojiingiza katika kazi zisizofaa. Tubadilike otherwise maisha yenu yamo hatarini. Hongera sana polisi wetu

    ReplyDelete
  2. Hongera Polisi

    ReplyDelete
  3. Sawasawa kabisa UWENI MAJAMBAZI kwa hilo nawapa BIG-UP lakini jamani Police juu ya kazi yenu nzuri. Halahala mabomu yenu ya machozi kwenye maandamano ya amani/wanafunzi muwe kidogo hastehaste

    ReplyDelete
  4. Asante Kova, Asante jeshi la Polisi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...