Na Saleh Jembe
Msani Nasib Abdul ‘Diamond’ amechaguliwa kuwa mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye hafla ya utoaji tuzo za mwanasoka bora Afrika 2014. Diamond atatumbuiza katika tuzo hizo ambazo wachezaji 25 nyota barani Afrika wamechaguliwa kugombea tuzo hizo. Hafla hiyo itafanyika Januari 8, 2015 jijini Lagosi Nigeria. Mwanasoka Bora, Yaya Toure raia wa Ivory anayeitumikia Manchester City ya England ni kati ya watakaowania nafasi hiyo. 

Wanaowania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika:

1.    Ahmed Musa                          (Nigeria, CSKA Moscow)
2.    Asamoah Gyan                       (Ghana, Al Ain)
3.    Dame N’doye                         (Senegal, Lokomotiv Moscow)
4.    Emmanuel Adebayor               (Togo, Tottenham)
5.    Eric Maxim Choupo-Moting          (Cameroon, Schalke 04)
6.    Fakhreddine Ben Youssef            (Tunisia, CS Sfaxien)
7.    Ferdjani Sassi                          (Tunisia, CS Sfaxien)
8.    Yao Kouassi Gervais ‘Gervinho’ (Cote d’Ivoire, AS Roma)
9.    Islam Slimani                          (Algeria, Sporting Lisbon)
10. Kwadwo Asamoah                   (Ghana, Juventus)
11. Mehdi Benatia                         (Morocco, Bayern Munich)
12. Mohamed El Neny                   (Egypt, Basel)
13. Pierre-Emerick Aubameyang        (Gabon, Borussia Dortmund)
14. RaĂ¯s M'Bolhi                           (Algeria, Philadelphia Union)
15. Sadio ManĂ©                            (Senegal, Southampton)
16. Seydou Kieta                          (Mali, As Roma)
17. Sofiane Feghouli                     (Algeria, Valencia)
18. Stephane Mbia                       (Cameroon,  Sevilla)
19. Thulani Serero                        (South Africa, Ajax)
20. Vincent Aboubakar                  (Cameroon, Porto)
21. Vincent Enyeama                    (Nigeria, Lille)
22. Wilfried Bony                          (Cote d’Ivoire, Swansea)
23. Yacine Brahimi                       (Algeria, Porto)
24. Yannick Bolasie                       (DR Congo, Crystal Palace)
25. Yaya Toure                            (Cote d’Ivoire, Man City)

Wanaowania tuzo za Mwanasoka Bora Afrika( Kwa wachezaji wanaocheza Afrika)

1.    Amr Gamal                     (Egypt, Al Ahly)
2.    Abdelrahman Fetori          (Libya, Ahly Benghazi)
3.    Bernard Parker               (South Africa, Kaizer Chiefs)
4.    Bongani Ndulula               (South Africa, Amazulu)
5.    Akram Djahnit                 (Algeria, ES Setif)
6.    Ejike Uzoenyi                   (Nigeria, Enugu Rangers)
7.    El Hedi Belamieri              (Algeria, ES Setif)
8.    Fakhereddine Ben Youssef   (Tunisia, CS Sfaxien)
9.    Ferdjani Sassi                    (Tunisia, CS Sfaxien)
10. Firmin Mubel Ndombe          (DR Congo, AS Vita)
11. Geoffrey Massa                  (Uganda, Pretoria University)
12. Jean Kasusula                     (DR Congo, TP Mazembe)
13. Kader Bidimbou                  (Congo, AC Leopards)
14. Lema Mabidi                       (DR Congo, As Vita)
15. Mudathir Al Taieb                (Sudan, Al Hilal)
16. Roger AssalĂ©                     (Cote d’Ivoire, Sewe Sport)
17. Senzo Meyiwa                    (South Africa, Orlando Pirates)
18. Solomon Asante                 (Ghana, TP Mazembe)
19. Souleymane Moussa            (Cameroon, Coton Sport)
20. Yunus Sentamu                  (Uganda, AS Vita)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tanzania hatuna mtu hata kwa wanaocheza Afrika??!! Kumbe huu mchezo tujitoe tu-concentrate kwenye mambo mengine, Big Brother!!

    Ukiangalia jinsi vilabu vikubwa vinavyoendesha mambo yao ndo utapata kichefuchefu kabisa, makocha wanabadilishwa kama taulo!!

    ReplyDelete
  2. Kweli Fortius aibu tupu! Hata mimj nilipokuwa nasoma haya majina ya wachezaji nilitegemea kwa wanaocheza Africa litakuwepo jina la mchezaji wa Tz!!! wapi!!!!!!I aibu tupu! Hapo ndo unapojuwa kuwa mpira wa Bongo miyayusho mitupu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Let us not give it up, one day, one day we will have somebody to represent tz

      Delete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...