Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiongea na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe Alexander A.Ranikh aliyefika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Ranikh baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa amemaliza muda wake wa kazi nchini, Picha na Ikulu Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...