
Filamu ya Figo
Kumsikiliza mzazi ni jambo la kawaida kwa kila mtoto, Lakini wakati mwengine lazima mtoto achague lipi jema, Lipi baya. Kijana Sila alijikuta kwenye pigo kubwa sana katika maisha yake nakujiuliza swali " Nani ni mzazi wangu kati yako na yule" Fuatilia kisa hiki....
Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania iitwayo FIGO au nunua na iwe yako kupitia mtandao.
Ili kuweza kuangalia au kununua kupitia Mtandao unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti hii
Pia unaweza kuangalia au kununua filamu nyingine kupitia mtandao huo huo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...