Mwanalibeneke wa Demasho.com Hamza Juma akiwa anawajibika , leo hii anasherehekea siku yake ya kuzaliwa .
Wahenga wanasema maisha ni Safari na siku hazigandi, nakama maisha ni safari basi kila kukicha twakumbana na masaibu ya kukatisha tamaa ya kukupa moyo wa kusonga lakini jibu pekee ni kupambana nayo tu sikurudi nyuma. Nakama siku hazigadi basi ni dhahiri shairi kuwa umri unasonga siku hadi siku na huwezi kuurudisha nyuma.
Basi katika siku hii muhimu ya kukumbuka kuzaliwa kwako, NAPENDA KUKUTAKIA KILA LILILO JEMA na kumbuka kuwa yote yatokeayo yana sababu. Mungu Akulinde, akufungulie lililojema ,
"Tupo pamoja na tutaendelea kuielimisha jamii yetu."
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...