Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mzee Mzima,
    naamini nia ni nzuri, ila umetumia muda mrefu sana kutoka utanguliza, n akueleze matatizo ya video ya kwnza. dk 9 zimepita bila y awewe kuongea kile ilidhamiria kuongea, kwa sababu kuonyesha ile video ya 'cyber attacks' kwa mtu yeyote naweza kufikiri ni video games au viashiria vingine. halafu umesema unatak akutumia lugha ya kiswahili, lakini naona unatumia kimombo zaidi..kwa hiyo sijui unalenga watu gani hapa.
    dk 9 kuendelea kusema nia ni kuleta 'awareness' bila kusema kitu gani..ni cyber atacks au cyber security, noan ualimu au utoaji mada umekukama Mkuu.

    ReplyDelete
  2. hakuan kitu ni shiiiidaa!!

    ReplyDelete
  3. Jamani let be realistic here....Anon hapo juu unasema natumia kimombo zaidi..wewe ulitegemea atumie nini...sitegemei masomao haya hata ukienda shule utafundishwa kwa kiswahili.and im hoping watu wanatakaotaka kuchukua course hii wanauelewa wa Lugha ya kiingereza...watanzania tunapenda kulalamika mno khaaaa.tulifunze kuappriciate things kaka huyu aakamua kufundisha na ninaami kuna watanzania wengi tu wanajua mambo lkn are not willing to share with us...so plzzz jamaniiii

    ReplyDelete
  4. Naamini kwenye video yangu nimeeleza/kiri kuwa ilikuwa ni dhamira yangu kufundisha au ku-share my knowledge na skills kwa kiswahili LAKINI ni kazi sana kwangu kuanza ku-translate kila kwa kiswahili. Afterall, haya masomo yote ya IT Security na mengineyo yanafundishwa au kufanya tests zako kwa kiingereza. Hivyo najaribu kwa uwezo wangu mimi ku-share kile ninachoweza. Kama mtu hujaelewa kile ambacho kinaongelewa kwenye video na unahitaji ufafanuzi, ni vyema ukaweka comments zako kwenye channel yangu pia ili iwe rahisi kupata ujumbe na kujibu.
    Poleni na samahani kwa wale ambao mtakuwa mmekwazika. It's hards sometimes ku-translate haya maneno kwenye IT kwa lugha yetu lakini nitajitahidi kutoa ufafanuzi zaidi iwapo mtu ameshindwa kuelewa kitu katika training hii.\
    Regards,
    Ben.

    ReplyDelete
  5. Hongera sana ndugu kwa kutujuza na kutuelemisha. Nimejifunza mengi hasa kuhusu ile sehem ya password.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...