Hii ndio video mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo inayoitwa "Forever".
Video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level, na imeshootiwa on location ndani ya jiji la Johannesburg, South Africa. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds.
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania
Facebook: @ladyjaydee
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...