Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe
Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Maputo usiku huu kuhudhuria
sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi kesho mjini
Maputo. Mhe. Nyusi anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio
Jacinto Guebuza anayemaliza muda
wake.
Home
Unlabelled
JK awasili maputo usiku huu kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi kesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Heshima kwake mh jk
ReplyDelete