Picha ya pamoja Waziri wa Afya Seif Rashid (wa sita kulia) na wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Huduma ya Bunge ,Kuduma ya Jamii Gregory Teu (wa nne kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dk, Othman Kiloloma (wa tatu kushoto) na wengine ni wajumbe wa kamati hiyo ya wabunge.
Waziri wa Afya Seif Rashid (kusho) akitia Saini katika Kitabu cha wageni mara kamati ya Kudumu ya Bunge , Huduma za Jamii ilipo tembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) katikati ni Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Huduma ya Bunge ,Kuduma ya Jamii Gregory Teu na (kulia) ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Stephen Kebwe
Kamati ya Kuduma ya Bunge, Huduma za Jamii ilipo Tembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na kutembelea Vyumba vya Upasuaji katika Taasisi hiyo.
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dk, Othman Kiloloma (kulia) akionyesha mashine zilizo mbovu kwa Kamati ya Kudumu ya ya Bunge ,Huduma za Jamii.
Kamati ya Kuduma ya Bunge, Huduma za Jamii ilipo Tembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) na kutembelea Vyumba vya Upasuaji katika Taasisi hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...