Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu
akiwakaribisha wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji
iliyowasili mkoani humo kukagua miradi ya maji
Mhandisi
wa Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara John Msengi akiwasilisha taarifa ya
mradi wa maji wa Nanyamba kwa wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo,
Mifugo na Maji iliyotembelea kukagua mradi huo.
Mwenyekiti
wa kijiji cha Kibaoni kinachohudumiwa na
Mradi wa Maji wa Nanyamba, Issa Bakari akieleza jambo kwa wajumbe wa Kamati Ndogo
ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyotembelea kukagua mradi huo.
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo,
Mifugo na Maji Amina Makilagi akipanda ngazi za tanki la maji la mradi wa Maji
wa Nanyamba.
Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo,
Mifugo na Maji Amina Makilagi akivuka kidaraja kuelekea kukagua tanki lingine
la maji la mradi wa Maji wa Nanyamba. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Huyu Mwenyekiti wa kamati kumbe angali bado anaparamia hayo matangi ya maji, basi kwa ushauri tu na kwa kuzingatia suala zima la healthy and safety, basi angalau angekuwa equipped na mavazi ambayo atakuwa very comfy kutokana na hiyo panda shuka ya kukaguwa hayo matangi ya maji. Hata hivyo hongera sana mwanakamati kwa uwajibikaji wako wa vitendo, Keep it up!
ReplyDelete