Mfuasi wa CHADEMA,Bi.Fatma Hassan akikabidhi kadi yake kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na kujiunga na chama hicho,ambapo wanachama watano wa CHADEMA walirudisha kadi na kujiunga na CCM.
Baadhi ya Wanachama wapya wakila kiapo
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Tunduni wakati wa mkutano wa hadhara,jimbo la Uzizi Mkoa kwa Kusini Unguja.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akishirikiana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Vuai Ali Vuai kumwaga zege la linta kwenye jengo la CCM Dunga.
Sehemu ya Umati wa watu wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Tunduni,Jimbo la Uzini,Mkoa wa Kusini Unguja
Sehemu ya Umati wa watu waliofika kwenye mkutano wea hadhara uliofanyika katika kijiji cha Tunduni,Jimbo la Uzini,Mkoa wa Kusini Unguja.PICHA NA MICHUZI JR-KUSINI UNGUJA-ZANZIBAR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...