Sheikh Hilal Shaweji akitoa neno kwa wadau wa michezo katika ibada ya kuwakumbuka wasanii na wanamichezo mbalimbali waliotangulia mbele ya haki, ibada hiyo imefanyika katika viwanja vya Leaders Club kinondoni jijini Dar leo.
Padre John Solomon akitoa neno kwa wadau na wanamichezo katika ibada ya kuwakumbuka waliotangulia mbele ya haki iliyofanyika leo katika viwanja vya leaders Club jijini Dar es Salaam.
Balozi Mstaafu Sisco Mtilo Akiwakaribisha wadau katika ibada ya kuwaombea waliotangulia mbele ya haki na Ibada hiyo imefanyika katika viwanja vya leaders Club jijini Dar es Salaam.
Padre John Solomon akiongoza ibada ya kuwaombea wasanii na wanamichezo mbalimbali waliotangulia mbele ya haki iliyofanyika kaika viwanja vya leaders Club.
Wadau wakiwa wamesimama katika ibada ya kuwaombea wasanii na wanamichezo waliotangulia mbele ya haki iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Wadau wakifuatilia ibada maalumu ya kuwaombea wa wanamichezo na wasanii waliotangulia mbele ya haki iliyofanyika katika viwanja vya leaders Club jijini Dar es Salaam.
Wadau wakifuatilia ibada maalumu ya kuwaombea wa wanamichezo na wasanii waliotangulia mbele ya haki iliyofanyika katika viwanja vya leaders Club jijini Dar es Salaam.
Naona kina Sheikh wangu kipenzi Kipozeo, Mshikaji Slazenger, Computer & Co ndani ya shughulu hii muhimu ya kuwakumbuka wenzetu waliotangulia mbele ya haki.
ReplyDeleteMdau
Mtoo wa Mujini
Diaspora
Good on you Cisco - thanks for the event.
ReplyDelete