Makamu Mwenyekiti wa ACT-Tanzania ,Bara ,Shabani Mambo Akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama hicho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kagame Jijini Dar es Salaam.
Wanachama wa ACT wakiwa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Kagame Jijini Dar es Salaam wakipata taarifa ya Chama kwa kipindi cha miezi sita na tathimini ya uchaguzi wa serikali za Mitaa uliofanyika hivi karibuni.
Aliyekuwa Mwanachama wa TLP ,Ahmad Tao akionyesha kadi mpya uanachama wa ACT katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa hoteli ya Kagame jijini Dar es Salaam.
Katiku mkuu wa wa Chama cha ACT-Tanzania,Samsoni Mwigamba akifafanuwa jambo katka kikao cha halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Mwanachama wa TLP ,Ahmad Tao akipokea kadi mpya uanachama wa ACT katika
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...