Basi lilikata mbuga likitokea Mbeya kuelekea Masasi. Wenye data watusaidie jina la basi hii iliyoletwa na mdau Joseph Mwaisango wa Mbeya Yetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. linaitwa Leyland Albion

    ReplyDelete
  2. Hapo lazima yupo mlangoni na kigogo cha mpingo

    ReplyDelete
  3. Duhhh aliyehifahdi picha hii anastahili kupata zawadi!

    Tena Picha ya rangi?

    ReplyDelete
  4. Haya ndio mabasi ya kuwapandisha Waheshimiwa Wabunge kwenda Dodoma kama Kipindi za Baba wa Taifa J.K.Nyerere badala ya VX-V8 zao wanazo panda sasa!!!

    ReplyDelete
  5. Atupele Mwakibibi Bus Service

    ReplyDelete
  6. Nilikuwa mdogo sana wakati mabasi haya yanaishiaishia, lakini kuishi karibu na barabara kuu ya dar lusaka na kupenda mambo ya ufundi kulinifanya nijue baadhi ya aina za magari, hili basi ni COMMER(sina uhakika na spelling) ila tulitamka KOMA, lilikuwa LEYLAND au BERDFORD, Hiyo ni DAR ES SALAAM MOTOR COMPANY (DMT) kampuni binafsi kabla haijataifishwa na kuwa NBS( national bus services) kiswahili kampuni ya mabasi ya taifa (KAMATA), kwa Mjini mbeya kuna mnyakwisa mmoja alikuwa nalo likifanya safari kati ya mbeya mjini na chimala mbeya vijijini, mmiliki alikuwa anaitwa THOMAS MWAKIKATO. MICHUZI ongeza data hapo au ulikulia mbeya vijijini sana?

    ReplyDelete
  7. TWILA KAMBANGWAJanuary 06, 2015

    Leyland, hichi kilima cha tandahimba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...