Home
Unlabelled
kutoka maktaba: Basi la Mbeya-Masasi mwaka 1977
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
linaitwa Leyland Albion
ReplyDeleteHapo lazima yupo mlangoni na kigogo cha mpingo
ReplyDeleteDuhhh aliyehifahdi picha hii anastahili kupata zawadi!
ReplyDeleteTena Picha ya rangi?
Haya ndio mabasi ya kuwapandisha Waheshimiwa Wabunge kwenda Dodoma kama Kipindi za Baba wa Taifa J.K.Nyerere badala ya VX-V8 zao wanazo panda sasa!!!
ReplyDeleteAtupele Mwakibibi Bus Service
ReplyDeleteNilikuwa mdogo sana wakati mabasi haya yanaishiaishia, lakini kuishi karibu na barabara kuu ya dar lusaka na kupenda mambo ya ufundi kulinifanya nijue baadhi ya aina za magari, hili basi ni COMMER(sina uhakika na spelling) ila tulitamka KOMA, lilikuwa LEYLAND au BERDFORD, Hiyo ni DAR ES SALAAM MOTOR COMPANY (DMT) kampuni binafsi kabla haijataifishwa na kuwa NBS( national bus services) kiswahili kampuni ya mabasi ya taifa (KAMATA), kwa Mjini mbeya kuna mnyakwisa mmoja alikuwa nalo likifanya safari kati ya mbeya mjini na chimala mbeya vijijini, mmiliki alikuwa anaitwa THOMAS MWAKIKATO. MICHUZI ongeza data hapo au ulikulia mbeya vijijini sana?
ReplyDeleteLeyland, hichi kilima cha tandahimba
ReplyDelete