Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akimpokea Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma.

Makamu Mwenyeki wa CCM,Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma.Pichani Kati ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye pia amewasili leo na Ujumbe wake kwa ajili ya ziara ya siku tano ya Kujenga na Kukiimarisha chama cha CCM.
Makamu Mwenyeki wa CCM,Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mjumbe wa kamati ndogo ya Maadili,Dkt Maua Abeid Daftari, mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma
Makamu Mwenyeki wa CCM,Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mjumbe wa kamati ndogo ya Maadili,Dkt Maua Abeid Daftari, mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma
Kkatibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye wakiwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kuanza ziara ya siku tano ya Kujenga na Kukiimarisha chama.Ndugu Kinana pia amempokea Rais wa Zanzibar Dkt.Shein mapema leo kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar Ndugu.Vuai Ali Vuai,mara baada ya kuwasili kisiwani Pemba na Ujumbe wake akiwemo Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye tayari kwa kuanza ziara ya siku tano ya Kujenga na Kukiimarisha chama.Ndugu Kinana pia amempokea Rais wa Zanzibar Dkt.Shein mapema leo kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge a jimbo la Makunduchi na aliyewahi kuwa Makamu Mmwenyekiti wa Bunge la katiba,Mh Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kuanza ziara ya siku tano ya Kujenga na Kukiimarisha chama.Ndugu Kinana pia amempokea Rais wa Zanzibar Dkt.Shein mapema leo kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana na ujumbe wake mara baada ya kuwasili mapema leo kwenye uwanja wa Ndege wa Pemba kuanza ziara ya siku tano ya Kujenga na Kukiimarisha chama.Ndugu Kinana pia amempokea Rais wa Zanzibar Dkt.Shein mapema leo kwa ajili ya kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,ambayo Kitaifa zitaadhimishwa mjini Songea mkoani Ruvuma.
PICHA NA MICHUZI JR-PEMBA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...