Mkuu wa kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania, Domician Mkama(kushoto)akiongea na Evarista Minja(wapili toka kulia)na marafiki zake alipomtembelea Mwanafunzi huyo wa chuo kikuu cha SAUT jijini Mwanza kwaajili ya kumkabidhi kitita chake cha shilingi Milioni 1/-alichojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja(kulia)akitoa fedha zake kwa njia ya M-PESA kiasi cha shilingi Milioni 1/-alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania na kukabidhiwa fedha hizo na Mkuu wa kampuni hiyo kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Mkuu wa kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania,Domician Mkama(kushoto)akimkabidhi fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 1/- Evarista Minja ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja(katikati)akiwa amepozi kwa picha na marafiki zake Careen Masonda(kushoto)na Lucy Mlacha(kulia)mara baada ya kukabidhiwa kitita hicho cha shilingi milioni 1/-na Mkuu wa kanda ya ziwa wa Vodacom Tanzania Dominician Mkama(hayupo pichani)alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Anko umechapia kichwa cha habari bana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...