Picha ya Col. Clement Mwihava ikiwa mbele ya kanisa wakati wa misa.
Padri Honest Munishi(kushoto) akisaidiwa na padri FilbertTairo wakati wakiongoza misa ya kumbukumbu ya Col. Clement Mwhava iliyofanyika siku ya Jumampili Januari 4, 2015 katika kanisa la Katoliki la Mt. Edward lililopo Baltimore.
Derek Mwihava akisoma somo la kwanza katika misa ya kumbukumbu ya mpendwa baba yao iliyofanyika Baltimore katika kanisa la Mt. Edward siku ya Jumapili Januari 4, 2015.
Neema Tembele akisoma somo la pili katika misa ya kumbukumbu ya mpendwa baba yao Col. Clement Mwihava iliyofanyika siku ya Jumapili Januari 4, 2015 katika kanisa la Mt. Edward lililopo Baltimore, Maryland nchini Marekani.
Poleni wafiwa and shukrani watanzania waliohudhuria. Hapa Canberra hatuna vitu kama hivyo. Hata mazishi watu hawaji eti wako busy.
ReplyDelete