Pamoja na kuwepo kwa vibao vya kutahadhalisha,lakini bado watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Hapa ni kwenye Mitambo ya Umeme,Ubungo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamaa wanapiga hata siesta, good on them!!

    ReplyDelete
  2. TWILA KAMBANGWAJanuary 06, 2015

    kazi ipo hawa wabongo km kondoo asiye na mchungaji, sasa ni nini hii vibao vikubwa tena inahashiria hapa ni hatari lkn bado tu watu wapo hapo mhhhh mbona shida

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...