Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimfafanulia jambo Mkuu
wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Damien Thuriaux alimpomtembelea
ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kiongozi huyo wa IOM alifika ofisini
kwa Waziri Chikawe kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali
ya wahamiaji pamoja na ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza kwa makini
Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Damien Thuriaux
alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kiongozi huyo wa IOM
alifika ofisini kwa Waziri Chikawe kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusiana
na masuala mbalimbali ya wahamiaji pamoja na ushirikiano kati ya Wizara na
shirika hilo.
Picha zote na Felix
Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...