Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Amour Mohamed akikata utepe kama ishara ya kukabidhi mabasi matatu kwa Meneja wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar Bi Zaina Ibrahim Mwalukuta (kushoto) yaliyotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya kuchukulia abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume yenye thamnai ya shilingi za Kitanzania MIa Tatu na Ishirini Millioni,(kulia) Mkurugenzi Masoko wa PBZ Seif Suleiman.
Miongoni mwa Mabasi yaliyotolewa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) likiwa tayari limeanza kazi kazi ya kubeba abiria wanaokwenda kupanda ndege katika Kiwanja cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume Kama inavyoonekana Pichani.[Na Mpiga Picha Maalum.]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera Benki yetu PBZ hakika ni Bankiya Wananchi Zanzibar

    ReplyDelete
  2. hayo mabasi yanabeba abiria kutoka wapi kwenda Airport au kutoka Airport kwenda wapi?
    au ni daladala za Airport ~ Darajani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...