Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.
Kichwa cha habari kinasema Godo la Mboto. Tafadhali rekebisha ni Gongo la Mboto
ReplyDeleteBora wasipikiea mkaa!
ReplyDeleteAfadhali kumbe tunaweza tukiacha wizi Magereza wajenzi mnao na nyie fanyeni vitu vyenu nawaaminia
ReplyDeleteWow maghorofa mazuri ya jeshi kama yale ya pale mwenge dar es salaam....
ReplyDeleteMh kweli mdau wa pili bora wasipikie mkaa na waimarishe usafi ili zibakia hivyo hivyo!
ReplyDeleteMnawajua wabongo nyie au mnasikia tu?? Mkaa kama kawa kama dawa tena miezi 6 tu ghorofa choka mbaya mikojo kila kona kunuka.
ReplyDelete