Katibu Tawala Wilaya ya Ileje Bw. Francis Mbenjile katikati akizungumza na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni, na Michezo walipomtembelea ofisini kwake jana wakati wa ziara ya kuhamasisha vijana wa Ileje kuhusu Ujasiriamali, Ujuzi, Stadi za Maisha na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana Wilaya ya Ileje Mkoa wa Mbeya.
Mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa akitoa mada ya Stadi za Maisha kwa vijana wa Wilaya ya Ileje walioudhuria semina ya Ujasiriamali, Ujuzi, Stadi za Maisha na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana jana katika Wilaya ya Ileje Mkoa wa Mbeya.
Baadhi ya Vijana wa Wilaya ya Ileje wakifuatilia kwa makini mafunzo yaliyokua yakiendelea wakati wa semina ya Ujasiriamali, Ujuzi, Stadi za Maisha na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana jana katika Wilaya ya Ileje Mkoa wa Mbeya. (Picha na Genofeva Matemu – Maelezo)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wizara ya vijana endeleza kazi nzuri kama hizi nchi nzima, fursa za kilimo ndiyo kubwa zaidi kwa maana kama nchi tujaliwa ardhi kubwa. Unapojihakikishia shibe mambo mengine ni matokeo yanayoweza kupatikana pole pole.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...