Katibu Tawala Wilaya ya Ileje Bw. Francis Mbenjile katikati akizungumza na ujumbe
kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni, na Michezo walipomtembelea ofisini kwake jana
wakati wa ziara ya kuhamasisha vijana wa Ileje kuhusu Ujasiriamali, Ujuzi, Stadi za Maisha na
Mfuko wa Maendeleo ya Vijana Wilaya ya Ileje Mkoa wa Mbeya.
Mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa
akitoa mada ya Stadi za Maisha kwa vijana wa Wilaya ya Ileje walioudhuria semina ya
Ujasiriamali, Ujuzi, Stadi za Maisha na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana jana katika Wilaya ya
Ileje Mkoa wa Mbeya.
Baadhi ya Vijana wa Wilaya ya Ileje wakifuatilia kwa makini mafunzo yaliyokua
yakiendelea wakati wa semina ya Ujasiriamali, Ujuzi, Stadi za Maisha na Mfuko wa Maendeleo
ya Vijana jana katika Wilaya ya Ileje Mkoa wa Mbeya.
(Picha na Genofeva Matemu – Maelezo)
Wizara ya vijana endeleza kazi nzuri kama hizi nchi nzima, fursa za kilimo ndiyo kubwa zaidi kwa maana kama nchi tujaliwa ardhi kubwa. Unapojihakikishia shibe mambo mengine ni matokeo yanayoweza kupatikana pole pole.
ReplyDelete