Ndugu Elly David Akitoa Mada Kuhusu Vijana kujituma na kufanya kazi kwa Bidii Kwa maendeleo ya taifa.Mtoa Mada huyo amesema kutokana na Ukosefu wa ajira hususani kwa vijana ni vyeme vijana kujituma na kuwa wabunifu na waweze kujiajiri kwa lengo la Kupambana katika Maisha.Katika Kongamano hilo la Vijana lililofanyika Jijini dar es salaam Liliwapa Fursa vijana kueleza Changamoto zinazowakabili na namna ya Kuzikabili.Kongamano hilo lililoandaliwa na Elly David mara baada ya ya kuona changamoto zinazowakabili vijana wa kitazania ili kuwapa fursa vijana kukutana kubadilishana mawazo Pamoja na Kuangalia namna ya kutatua changamoto zinazowakabili vijana wa Kitanzania/
Home
Unlabelled
VIJANA WATAKIWA KUJITUMA NA KUFANYA KAZI KWA KWA MAENDELEO YAO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kwa sababu nchi yetu haijaendelea kwa maana ya kuhitaji kujenga miundo mbinu ya barabara, umeme, maji, maji taka, kujenga maeneo ya taka ngumu, kilimo, masoko na huduma mbali mbali,n.k. ina fursa nyingi kwa vijana wenye fani mbalimbali hasa fursa za kuendeleza mikoa na wilaya zetu. Ni sisi tu tunahitaji kama tunaojiita wabongo tutumie bongo kuwatengea vijana nafasi za fursa hizi za kuendeleza nchi sehemu zote tukishirikisha vijana.
ReplyDelete