Ndugu Wananchi,
Kuna matukio mengi ya kuteka anuani za watu na kuzitumia kwa maovu hasa kuombea misaada n.k.
Endapo janga hili litakukuta wasiliana nasi ili tuokoe anuani na jumbe zako pamoja na kuzuia maafa yatokanayo na uhalifu huu.Tujulishe mara moja kwa kutuma SMS kwenye simu ifuatayo:
+81-90-8498-9270
Huduma hii ni ya majaribio itatolewa
bure hadi tarehe 30/6/2015.

sent by T.J.Martin.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tanzania imekuwa easy target kwa hao wahuni kudanganya, hiyo ni kutokana na utamaduni wetu wa kuomba omba misaada. Kama tungekuwa hatutegemeani hayo mambo ya e-mail za kuomba omba itakuwa hazipo.

    ReplyDelete
  2. nyie ni akina nani? mbona hamjitambulishi ili tuwajue? isije ikawa na nyie ni walewale na mkipiata hata hizo namba za simu mnaanza kuzifukunyua kama hackers wa email

    ReplyDelete
  3. Japan siku hizi wanatuma SMS. Nilipokuwepo ilikuwa wanatumia email tu. SMS zilikuwa hazitumiki kwa SIM card za Japan.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...