Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia), akiongoza wafanyakazi wenzie kutoka kampuni hiyo pamoja na watoto kutoka kituo cha watoto yatima cha Malaika wakati baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho jijini Dar es Salaam jana kuwasilisha kwa niaba ya wafanyakazi wenzao michango yao ya vitu mbalimbali kama nguo, chakula na vitabu.
Mtoto Upendo (kulia) kutoka kituo cha watoto yatima cha Malaika akipokea sabuni za mche kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kushoto) wakati baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho jijini Dar es Salaam jana kuwasilisha kwa niaba ya wafanyakazi wenzao michango yao ya vitu mbalimbali kama nguo, chakula na vitabu.
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba (wanne toka kulia) akizungumza na Mwendeshaji Mkuu wa kituo cha watoto yatima cha Malaika (wa tatu toka kulia) wakati baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania walipotembelea kituo hicho jijini Dar es Salaam jana kuwasilisha kwa niaba ya wafanyakazi wenzao michango yao ya vitu mbalimbali kama nguo, chakula na vitabu. Akishuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (wa tano toka kulia).
Wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto kutoka kituo cha watoto yatima cha Malaika wakati wafanyakazi hao walipotembelea kituo hicho jijini Dar es Salaam jana kuwasilisha kwa niaba ya wafanyakazi wenzao michango yao ya vitu mbalimbali kama nguo, chakula na vitabu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...