Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mhe. Chiku Gallawa akisisitiza kamati za maadili za mahakama za mikoa ya Dodoma na Singida kusaidia kupunguza malalamiko ya wananchi juu ya masuala ya kimahakama wakati akifunga mafunzo ya siku mbili ya kamati hizo mjini Dodoma Feb. 10, 2015.
Wajumbe wa Kamati za Maadili za Mahakama za Mikoa ya Dodoma na Singida wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa kamati hizo Mjini Dodoma Feb. 10, 2015.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...