![]() |
Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic na Baltiki, Mhe. Bibi Dora Mmari Msechu akiwa na Naibu Mkuu wa Itifaki Bi Annete Lassen, baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mtukufu Malkia Margrethe II wa Denmark tarehe 20 Februari 2015. |
Picha ya pamoja na Mkuu wa Kasri la Malkia baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...