Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Mipira kwa ajili ya Gari ya Chama ya Mkoa wa Singia Katibu wa CCM wa Mkoa huo Bibi Merry Chatanda akitekeleza ahadi aliyotowa wakati wa ziara yake Mkoani humo miezi michache iliyopita. Kulia ya Balozi Seif ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi na Mbunge wa Mkoa wa Singida Viti Maalum Mh. Anna Chilolo, hafla iliyofanyika nyumbani kwa Balozi Seif Mtaa wa Farahani Mjini Dodoma.
Balozi Seif akiuhakikishia Uongozi wa Mkoa wa Singida kuendelea kushirikiano nao katika harakati za Maendeleo licha ya kwamba ameondoka kwenye Mkoa huo kwenye wadhifa wa Ulezi wa Chama wakati akikabidhi msaada wa mipira kwa ajili ya gari la Chama ya Mkoa wa Singida. Picha na –OMPR – ZNZ.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...