Mzee wa Robo saa Amini akitokelezea leo wakati anazungumza na Wananchi wa Bukoba Kupitia Radio Kasibante 88.5 FM leo ambapo usiku huu watakuwa pamoja na Barnaba kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club kutoa Burudani ya Nguvu na Special kwa Siku ya Wapendanao "Valentine Day" Picha na Faustine Ruta wa bukobasports.com
Msanii Elias Barnabas ‘Barnaba’ akifanya yake..
Mc Jerry kutoka Shemeji Investment ambaye ni mmoja wa Waandaji wa Show ya leo akitoa ufafanuzi wa Tiketi kupitia Radio Kasibante Fm.
Mc Jerry na Barnaba
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...