Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. very nice, it shows how one (east african) we are. Hamna shida kabisa ni watani zetu wa jadi hawa.

    ReplyDelete
  2. Safi kabisa na ingekua poa kama original pia iimbwa na live band.

    ReplyDelete
  3. Whaoo!!! Huu ndio ujirani mwema, wimbo wa Diamond mmeupatia kweli kweli. Hongereni sana Bendi ya Polisi Kenya, sisi ni wamoja katika Afrika Mashariki.

    ReplyDelete
  4. The mdudu..hata mfanye nn lakini ardhi ya wa Tanzania kamwe hamto igusa. ..wa nataka kutuletea mambo ya nyoka kumdanganya jongoo pale alipo mwambia niazime macho yako japo kwa siku moja ili nimuone la azizi wangu. ..masikini jongoo kwa huruma yake amempa na kilichomkuta anajuta mpaka leo hii.

    ReplyDelete
  5. Yote mlozungumza hapo juu naunga mkono, lakini mimi napenda kujua je Diamond alilipwa copy right au mwisho wa kuuimba wimbo huo hawa jamaa wa Kenya je wali-acknowledge kwamba huu wimbo tumenakiri kutoka kwa Diamond? au wamefanya tu na kuacha watu wasiomjua Diamond waamini kwamba hao polisi ndo wametunga wimbo huo?

    ReplyDelete
  6. Hahahahha! mdau # 4 huwa unanichekeshaga sana na comments zako. Waache bwana wamependezwa na wimbo wa Diamond. Hongereni Polisi Kenya

    ReplyDelete
  7. hawa wakenya wanaroho mbaya sana sio watu wakuwa nao karibu wanatuponda sana lakini wanatukubali kimya kimya tunaishi nao huku ugaibuni ni watu wenye wivu sana, wabinafsi,wanadharau,wanajifanya sana wajuaji na huku hawa lolote kazi kuponda watanzania na huku kila siku hawaishi kusikiliza miziki yetu ya tanzania wanatuponda sana lakini hawatukutii hata kwa theluthi moja tuko mbali sana na wao kwao kuna umaskini wakutupwa kwa ukweli ulio wazi watanzania yumejaliwa sana kuanzia mali roho safi, hadi sura nzuri hawa wenzetu sio bure nyerere alikuwa anawaita nyangau ni nyangau kweli kweli ingekuwa mimi rais ni singetaka hata ushirika wao

    ReplyDelete
  8. Huu mwimbo unapendeza ukipigwa live na vyombo

    ReplyDelete
  9. Mdau wa tano hapo juu nakubaliana na maoni yako, maana wimbo huu umeshakuwa maarufu sana kwa sasa ndani na nje ya nchi, hivyo endapo hakutakuwa na haki zozote za kuidhinisha na kutambulisha uhalali na umiliki wake, basi mara utakujasikia yao ndio 'original' na ya muhusika halisi ikadaiwa kuwa ni 'version' yake. Hata hivyo ni maoni yetu tu, lakini endapo itakuwa yote ya msingi yamefuatwa, basi mtuwie radhi wahusika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...