Mkuu
wa Teller wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, Tusekile Mwakyembe
(kulia) akikabidhi zawadi Lucas Mosha siku ya wapendanao akiwa ni mmoja
wa wateja wa mwanzo wa tawi hilo alipofika kupatiwa huduma jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilitoa zawadi kwa wateja wake wa
mwanzo ikiwa ni jinsi ya kuwashukuru na kuonesha wanawajali wateja wake
kwa zawadi maalum.
Meneja
wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, Patrick Njole (kushoto) akikabidhi
zawadi kwa Brandoni Kimoi ya siku ya wapendanao mmoja wa wateja wa
mwanzo wa tawi hilo alipofika kupatiwa huduma jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilitoa zawadi kwa wateja wake wa mwanzo
ikiwa ni jinsi ya kuwashukuru na kuonesha wanawajali wateja wake kwa
zawadi maalum. Kulia ni Baba yake, Dkt. Ekandumi Brandoni.
Mfanyakazi
wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, Sperancia Tarimo (kulia)
akikabidhi zawadi Emmanuel Kalolo siku ya wapendanao akiwa ni mmoja wa
wateja wa mwanzo wa tawi hilo alipofika kupatiwa huduma jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilitoa zawadi kwa wateja wake wa
mwanzo ikiwa ni jinsi ya kuwashukuru na kuonesha wanawajali wateja wake
kwa zawadi maalum.
Wafanyakazi
wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, (kushoto) wakiwahudumia wateja
wake baada ya kukabidhiwa zawadi siku ya wapendanao walipofika kwenye
tawi hilo alipofika kupatiwa huduma jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki. Benki hiyo ilitoa zawadi kwa wateja wake wa mwanzo ikiwa ni jinsi
ya kuwashukuru na kuonesha wanawajali wateja wake kwa zawadi maalum.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...