Shadya Shaibu, akilishwa kipade cha keki na Baba yake mzazi Shaibu Chapuchapu, katika hafla yake ya kuzaliwa iliyofanyika nyumbani kwa wazazi wake Kigamboni Dar es Salaam usiku huu.
(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Shadya Chapuchapu (kulia) akimlisha baba yake mzazi Shadya Shaibu keki
Shadya Chapuchapu (kulia) akimlisha mama yake mzazi Marim Tindwa ,keki katika Hafla ya kuzaliwa iliyofanyika Kigamboni Dar es Salaam
Mama mzazi wa Shadya Chapuchapu Marim Tindwa (kushoto), akimlisha keki mwanaye katika Hafla iliyofanyika nyumbani kwao Kigamboni Dar es Salaam leo
Kaka wa Shadya, Sheni Shaibu , akila keki katika hafla fupi ya siku ya kuzaliwa dada yake
Shadya chapuchapu (wapili kushoto) walio chuchuma katika Picha ya pamoja akiwa ameshika keki na kaka yake Shamte chapuchapu, wakishika keki kwa pamoja katika hafla ya kupongezwa kwake katika hafla ya kuzaliwa iliyofanyika usiku huu Kigamboni Dar es Salaam.
Mwenyezi Mungu akujalie kila lenye kheri mtoto Shadya
ReplyDeleteHappy father, happy mother, happy family, happy birthday Shadya.
ReplyDeleteNICE, I LOVE THIS.
ReplyDeleteSafi sana! Familia ya kitanzania halisi. Makes a difference to the stories and pictures about how the 1% live! More like this please! Hongera zenu Mama na Baba na familia nzima ya Shadya. Happy Birthday Shadya. Mwenyezi Mungu aendelee kukupa wewe na familia yako amani na mapenzi. Thank you for sharing.
ReplyDeleteHappy birthday! ubalikiwe pamoja na familia yote. Babu kubwa!
ReplyDeleteso cute Shadya and family, Maa Shaa Allah.
ReplyDeleteHappy birthday Shadya!
ReplyDeleteNimeipenda hii inaonyesha familia ya Kitanzania.