Shadya Shaibu, akilishwa kipade cha keki na Baba yake mzazi Shaibu Chapuchapu, katika hafla yake ya kuzaliwa iliyofanyika nyumbani kwa wazazi wake Kigamboni Dar es Salaam usiku huu. 
(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
  Shadya Chapuchapu (kulia) akimlisha baba yake mzazi Shadya Shaibu keki
 Shadya Chapuchapu (kulia) akimlisha mama yake mzazi Marim Tindwa ,keki katika Hafla ya kuzaliwa iliyofanyika Kigamboni Dar es Salaam
 Mama mzazi wa Shadya Chapuchapu  Marim Tindwa (kushoto), akimlisha keki mwanaye katika Hafla iliyofanyika nyumbani kwao Kigamboni Dar es Salaam leo
Kaka wa Shadya,  Sheni Shaibu , akila keki katika hafla fupi ya siku ya kuzaliwa dada yake
Shadya chapuchapu (wapili kushoto) walio chuchuma katika Picha ya pamoja akiwa ameshika keki na kaka yake Shamte chapuchapu, wakishika keki kwa pamoja katika hafla ya kupongezwa kwake katika hafla ya kuzaliwa iliyofanyika usiku huu Kigamboni Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mwenyezi Mungu akujalie kila lenye kheri mtoto Shadya

    ReplyDelete
  2. Happy father, happy mother, happy family, happy birthday Shadya.

    ReplyDelete
  3. NICE, I LOVE THIS.

    ReplyDelete
  4. Safi sana! Familia ya kitanzania halisi. Makes a difference to the stories and pictures about how the 1% live! More like this please! Hongera zenu Mama na Baba na familia nzima ya Shadya. Happy Birthday Shadya. Mwenyezi Mungu aendelee kukupa wewe na familia yako amani na mapenzi. Thank you for sharing.

    ReplyDelete
  5. Happy birthday! ubalikiwe pamoja na familia yote. Babu kubwa!

    ReplyDelete
  6. so cute Shadya and family, Maa Shaa Allah.

    ReplyDelete
  7. Happy birthday Shadya!
    Nimeipenda hii inaonyesha familia ya Kitanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...