Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani mbona Rais Kikwete kasahau wilaya mpya ya Tegeta na mteule wake Uncle Michuzi? Mi naona ni fitina binafsi za wa-tz ndo' maana kamwacha uncle wa watu! Fitina mbaya lakini nafasi yake ipo tu inacheleweshwa nao.

    ReplyDelete
  2. Wakuu wa wilaya wote hao mimi simo.

    ReplyDelete
  3. Wehe wehee hajamsasahau ata kidogo Ankali ni mbunge wetu 2015 na atakuwepo kwenye baraza la mawaziri na natangaza wazi wazi kutoa mchango wangu wa kampeni mwanzo mwisho kama akitangaza nia.

    Chagua ankali 2015, Chagua Mabadiliko!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...