Pichani kulia gari yenye namba za usajili T545 DBR ikivunja sheria za barabarani kwa makusudi kabisa katika makutano ya barabara eneo la Manyanya Kinondoni jijini Dar jioni ya leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huu ni upuuzi, nilipiga picha nyingine kama hiyo nimeweka kwenye blog yangu hapa http://goo.gl/cdpi7P

    Nafikiri polisi waanze kuchukua ya mambo kama haya

    ReplyDelete
  2. Kwa huko hilo wala si la kushangaza imeshakua kawaida, watembea kwa miguu wanapita roho mkononi wanakimbiza nafsi zao hata sehemu isiyostahili(mistari ya pundamilia),hahahaha kuna jamaa wawili walikua Sweden wakitokea bongo ..dah aibu walikua wakikimbia kila wanapovuka barabara masikini yanii ni hofu hofu hofu hofu mpaka mwisho wa siku....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...