Ujumbe
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na
Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia),
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na
kuambatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakisikiliza maelezo
kutoka kwa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Tumaini Thika
wakati walipofika ubalozini hapo. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.
Ujumbe
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira uliofuatana na
uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa ukiwa katika picha ya pamoja nje
ya Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, jana. Kamati hiyo iko
katika ziara ya mafunzo nchini humo.
Mjumbe
wa Kamati ya Maliasili na Mazingira Benedict Ole Nangoro, (kulia)
akijadiliana jambo na Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani cha Shirika
la Nyumba la Taifa, Fatuma Chillo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...