Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad Bibi Nasra Mohamed Hilal(wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda pamoja na mlezi wa Taasisi hiyo Rais Mstaafu awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi ikului jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)
Home
Unlabelled
Rais Kikwete akutana na Viongozi wa Taasisi ya Siti Binti Saad
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Inna Lillahi Wainnna Illaihi Raajuun
ReplyDeleteTunasikitika kutangaza msiba wa bi KIJAKAZI SAID KYELULA aliyefariki nyumbani kwake mikocheni tarehe 12/february/2015 atazikwa siku ya tarehe 13/02/2015 mtoni kijichi na ataswaliwa katika msikiti wa regent-estatesn victoria baada ya swala ya ijumaa msiba upo nyumbani kwake regent-estates victoria.....
ALLAH Amfanyie wepesi katika safari yake na amjalie awe katika waja waliojaaliwa pepo...
AMEEN!...