Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Mbarak Abdulwakil akisoma Hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS SACCOS Ltd leo februari 24, 2015unaofanyika kwa siku mbili katika Hoteli ya Edema Mkoani Morogoro.
Maafisa wa Jeshi la Magereza wenye vyeo mbalimbali ambao ni Wanachama wa TPS SACCOS Ltd kutoka Mikoa yote Tanzania Bara wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS SACCOS Ltd leo februari 24, 2015 unaofanyika kwa siku mbili katika Hoteli ya Edema Mkoani Morogoro.
Meza Kuu wakiwa wameketi wakifuatilia zoezi la Utambulisho wa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS SACCOS Ltd leo februari 24, 2015unaofanyika kwa siku mbili katika Hoteli ya Edema Mkoani Morogoro(katikati) ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Mbarak Abdulwakil(wa tatu kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZIADI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZIADI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...