Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto)akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/- James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.
Mshindi wa kitita cha Shilingi Milioni 10/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza,akiwa ameshikilia kitita chake alichojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kenyatta Mwanza, Martin Rajabu(kulia)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kumkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/- James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,hafla hiyo ilifanyika katika tawi la Benki hiyo mkoani humo leo anaeshuhudia kushoto ni Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.
Mnashindwa kumkabithi mfano wa Cheque?
ReplyDeletehata kama ni maonyesho tu lakini watu wengine hawatoelewa na kuiishia kumkaba.