SEATED 3 -COURSE DINNER
FIRST CLASS SERVICE
RED CARPET PAPARAZZI
DRESS READY FOR ACTION
HIGH LEVEL SECURITY
@RICH RICH PALACE
11019 ATLANTIC AVENUE RICHMOND HILL NY 11418
****************************** ****************************
PESA UNAYONUNULIA TICKET UNAPATA CHAKULA NA SOFT DRINKS KAZI KWAKO WAHI TICKET YAKO MAPEMA KWA $40 KWANI MLANGONI SIKU YA SHEREHE NI $ 50.
Kwa picha Zaidi tembelea http://tembaphoto.com/
MH. Ridhiwani Kikwete akiwa na wenyeji wake viongozi wa Tawi la CCM New York wakiongozwa na Mwenyekiti wa tawi Bwana Seif Akida Baada ya kumpokea Uwanja wa Ndege wa JFK tayari kwa Sherehe za Miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM kesho mambo ya meiva kazi kwenu Watanzania wote popote mlipo Mnaombwa kujitokeza kwa nguvu na umoja hiyo kesho siyo Chadema wala CUF Utanzania kwanza kuanzia saa 12 jioni hadi majogoo kula kunywa na kucheza kwa Dollar 40 tu...
Mh. Ridhiwani akifurahia jambo na wenyeweji wake uwanjani hapo baada ya kupokelewa. Kwa Picha zaidi nenda soma zaidi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...